najua sio wa serikali. kwani kufunika si ni kwa emergency kama hizi kisha zinawashwa AC.Huo ni uwanja wa club haumilikiwi na serkali
Viwanja vya kufunika havipendelewi sana na mashabiki
Km unakumbuka ufaransa walijenga 98wakati wa world cup ila mashabiki hawakuonekana kupenda sana