Gori la 2 wamepambanaGeeman anabebwa
duh we mkabaila 😂Wachezaji wanalipwa pesa nyingi sioni haja ya kuweka paa uwanjani
Paa ziishie kwenye stands
Kivipi mkuuKupitia michezo huwa nahitimisha kuwa mtu mweusi ni top performer kuliko race nyingine basi tu baada ya kutawaliwa akili zetu zikadumaa
Naamini siku moja tutapata vitabu vilivyokuwa ktk maktaba ya misri ya kale
Misri ya kale ilikaliwa na mtu mweusi na ndio kitovu cha ustaarabu
My point ni kuwa through sports over years and years we have experienced a contribution of a black man in a top performingKivipi mkuu
Ni referee. Si kocha.Kuna Michael Oliver na mstaafu Mike Dean ni moja ya makocha wabovu na wanaongoza kwa matukio ya utata utata kila pahali, pale sijaelewa offside ya Denmark ilipo. Hata hivyo wajerumani tumeshinda
So mechi imehairishwa?Mimi nalala
Ni typing error. Nilikua namaanisha referee.Ni referee. Si kocha.
Ile ya offside si yeye, ni maelekezo ya VAR.
Ila hilo la mkono ni upuuzi wake. Usengerema mtupu..
Yeah! Mpaka wakati mwingineSo mechi imehairishwa?