Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #3,341
Ahsante broKariby bro. Nilijua utakua bush hakuna mtandao kumbe ulikula tofali. Karibu na pole sana.
Ushindwe na ulegee🤣🤣Leo watoto wa Malkia wanafunga virago.
Usikimbie ewe Muitaliano .Team Slovakia tujuane mapema kabisaaaa. Nimeanza kuifuatilia kipindi cha Marek Hamsik, najua wengi hamumjui.
Nipo hapa mkuu, cha kwanza tumeanza kuhesabu.Usikimbie ewe Muitaliano .
Umebaki kuruka ruka kama chura aliyekosa dimbwi.
Huyu namba sita wa uingereza ni uchochoroPiga haoooo