Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitokomee.Nipo hapa mkuu, cha kwanza tumeanza kuhesabu.
PR ya Madrid ndo inambebaBora Bellingham kapaishwa sana ila ni hana kitu
Hahahahahahaa chuma umeiona kakaTeam Slovakia tujuane mapema kabisaaaa. Nimeanza kuifuatilia kipindi cha Marek Hamsik, najua wengi hamumjui.
Rice auHuyu namba sita wa uingereza ni uchochoro
Analeta mambo ya Inonga hapa
GuehiRice au
Hamna kitu hapoGuehi
Baada ya kuchomesha kinajifanya kuumia begaHamna kitu hapo
Aione GOATEngland no any shot on target
Eti it is coming home
Home ya nyoko
Ni worst player basi tu.PR ya Madrid ndo inambeba
PALMER akae pale mbeleNi worst player basi tu.
Mi kwenye mechi zote sijaona umuhimu wake
Rice anaslow down gameToa saka, weka Palmer, halafu huyu declan reice hatak kutoa pasi kwa Mainoo