Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haoneshi aisee. Itakua alidhani muitiko mdogo. Na sahivi hakuna ligi watu wanacheki wengi sana.Azam kama haoneshi hii michuano itabidi awaombe radhi wateja zake maana ni uhuni kabisa uwo
Saa 1 ndiyo mechi kali sana.Saa 4 sio mechi ya kukosa. Ata ya saa 1 itakua tamu.
Orban anawezea sana mipira ya juu.Duuh.. Header kali
Na watu nao wajifunze DSTV dish bei ndogo sana na vifurushi vyenye ni Bei ndogo awo Azam walichonacho ni ayo mapira yao ya ligi kuu ila hamna kitu cha ziada DSTV 25 unangalia la liga, Seria,Europe leauge,Conference,FA Tena kwa quality kubwa sanaHaoneshi aisee. Itakua alidhani muitiko mdogo. Na sahivi hakuna ligi watu wanacheki wengi sana.
awa watoto wanakula nne kama Sctoland jana wacha waendele kuleta mchezoChumaaaaa...
Hungary naona wameamua kutoka nyuma wanakuja tu mda wote saiziDuah anajua
Kidooogo ubao ubadilike.