Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #3,581
Kati ya wachezaji scam/overrated ambao washawahi kutokea, basi huyu ni kiongozi waohuyo jamaa ukimgusa tu unaitwa hater, jamaa ni muwa kabisa
Kama wakifanikiwa kushinda hii mechi, sidhani kama watachomoka mbele ya Uswisi.Nakazia
Ila kwa hiki kikosi cha leo kumuweka Mainoo, Eze na Palmer ndani imekuwa kikosi kikali zaidi....wamekaza sanaBut England don’t inspire any confidence going forward…
England Ina wachezaji wengi matapeli. Kuna huyo jamaa mwafrika hapo beki ya kati, wakikutana na timu inayojua kupeleka moto, lazima mumkatae huyo bekiSlovakia walipaswa kuibuka na ushindi Bahati haikuwa upande wao!!
Sisi England kama tutapita, Southgate abadilishe upangaji wa kikosi la sivyo hatutoboi
Kwa Mswisi sina wasiwasi..England atampiga, hivi anaenda kukutana na Mswisi kumbeKama wakifanikiwa kushinda hii mechi, sidhani kama watachomoka mbele ya Uswisi.
Wamezingua sana slovakiaKama wakifanikiwa kushinda hii mechi, sidhani kama watachomoka mbele ya Uswisi.
Hatufiki huko, hawawezi kushikilia bomba 120 hawa SlovakiaMnatolewa penalty nyie