UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Slovakia walipaswa kuibuka na ushindi Bahati haikuwa upande wao!!

Sisi England kama tutapita, Southgate abadilishe upangaji wa kikosi la sivyo hatutoboi
 
England Ina wachezaji wengi matapeli. Kuna huyo jamaa mwafrika hapo beki ya kati, wakikutana na timu inayojua kupeleka moto, lazima mumkatae huyo beki
 
Back
Top Bottom