UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ufaransa mabingwa wa Euro 2000, wamewafunga Ubelgiji 1-0 na kukata tiketi ya robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Ulaya maarufu kama Euro 2024.

Ufaransa walipata goli lao dakika ya 85 baada ya beki wa Ubelgiji, Vertoghen kujifunga.

Kwa matokeo hayo Ufaransa atakuwa anasubiria mshindi wa mechi ya Ureno Vs Sloveni hapo baade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…