UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

France hadi sasa wamefunga mabao matatu tu kwenye Euro 2024:

⚽️ Own goal
⚽️ Penalty
⚽️ Own goal

Hii ina maana gani ??🤔
Maana yake ni hii: wanajituma sana ndio maana wanapata nafasi za wenzao kufanya makosa hivo wanapata magoli.
Pili ni kwamba mashindano ni magumu chief.
Jibu jingine nje ya hapo ni porojo.
 
Kolo Muani's deflected effort takes France lead at the death! France 1-0 Belgium
CgAGVmaC6teATdpGACLcfJOpUfc438.gif
 
Back
Top Bottom