Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mechi za EURO ni mtitiFrance hadi sasa wamefunga mabao matatu tu kwenye Euro 2024:
⚽️ Own goal
⚽️ Penalty
⚽️ Own goal
Hii ina maana gani ??🤔
Wamecheza wakatengeneza nafasi ya hayo yote kutokea na kuwapa ushindiFrance hadi sasa wamefunga mabao matatu tu kwenye Euro 2024:
⚽️ Own goal
⚽️ Penalty
⚽️ Own goal
Hii ina maana gani ??🤔
Maana yake ni hii: wanajituma sana ndio maana wanapata nafasi za wenzao kufanya makosa hivo wanapata magoli.France hadi sasa wamefunga mabao matatu tu kwenye Euro 2024:
⚽️ Own goal
⚽️ Penalty
⚽️ Own goal
Hii ina maana gani ??🤔
Nakutumia link ya appsMsaada link ya live streaming
Umeiweka Kitaalam SanaWamecheza wakatengeneza nafasi ya hayo yote kutokea na kuwapa ushindi
Bahati mbaya nastream kwa PCNakutumia link ya apps
Hii battle imenifurahisha sana leo... Lukaku kwa Saliba?Lukaku vs Saliba
Lukaku anatoka sana jasho kwa kuzurura uwanjani, apunguze bia na kitimotoHii battle imenifurahisha sana leo... Lukaku kwa Saliba?
Naona Saliba hata jasho hajatoka, ila Lukaku utafikiri amemwagiwa ndoo mbili za maji.
Uwanja umejaa kabisaNdio tunaingia uwanjani.
Nipo Mkuu.
Babu Ronaldo yupo kikosini?Boli limeanza
Anazira kipuuzi.Babu Ronaldo yupo kikosini?