Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #3,941
Anatakiwa acheze kwa nidhamu leo aache kutaka mtelezoAnazira kipuuzi.
Leo akilambwa kadi, anakosa next match.
Next match ipi?Anazira kipuuzi.
Leo akilambwa kadi, anakosa next match.
Anapita leo.Next match ipi?
Dk 10 😂😂😂Kocha anamwonea aibu tu Ronaldo ila jamaa kajichokea mno
Angekuwa anampa dkk kumi baada ya timu kupata matokeo
Uwezo umepungua.Pabaya sana hapa akipiga CR7