UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ronaldo atoke amwachie yule black w rasta
Kuna tatizo naliona hapo kwenye benchi lao la ufundi....

Kama sio uoga wao wa kumtoa Ronaldo, basi wanadanyika na zile goli alizofunga kule Saud Arabia... wao wanahisi muda wowote anaweza akafanya jambo, ila wanachosahau ni kwamba hapa anakabwa na watu wanaocheza kwenye ligi zenye ushindani na ndio maana anashindwa kuonesha kile anachofanyaga kule kwenye ligi ya wafuga ngamia.
 
Ina maana Joao Felix ndio kaflop kiasi hicho jamaa nadhani hajaanza mechi hata moja duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…