Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
magoli ni magumu kupatikana huoni ufaransa wanaangushia magoli ya kujifunga tu, yaani goli walilofunga ni moja tu halafu ilikuwa penalty.cr7 akifunga hapa,dunia nzima itasimama kumsifia
Ukimtoa ronaldo basi hakikisha unashinda mechiRonaldo anaachwa kwsbb ana jina kubwa, heshima au nini?