Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ronaldo analazimisha kufunga lakini bahati haipo upande wake mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magoli ni magumu kupatikana huoni ufaransa wanaangushia magoli ya kujifunga tu, yaani goli walilofunga ni moja tu halafu ilikuwa penalty.cr7 akifunga hapa,dunia nzima itasimama kumsifia
Ukimtoa ronaldo basi hakikisha unashinda mechiRonaldo anaachwa kwsbb ana jina kubwa, heshima au nini?