Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Overrated player nashangaa watu wanamuweka kundi moja na akina Williams Jr, Yamine .Huyu Bwana mdogo Guller na footwork Tamu sana hii mipira anayochonga ni kama Ozil flan ivi 🧠
Huo ni mtazamo wako sio watu ebu onesha comment iliyomuweka kundi la hao unaowataja!!!!Overa
Overrated player nashangaa watu wanamuweka kundi moja na akina Williams Jr, Yamine .
It's coming home
Mimi kwa maoni yangu nico willims wa spain!Hivi wakubwa mpaka kufika sasa ni ni mchezaji gani anaweza kuwa mchezaji bora kwenye Euro msimu huu.
MusialaHivi wakubwa mpaka kufika sasa ni ni mchezaji gani anaweza kuwa mchezaji bora kwenye Euro msimu huu.
Yan mm najitahidigi sana kumuangalia huyu arda gula n mchezaji wa kawaida sana s bora yule kitasa baris Niko Williams, musiala wako mbali sanaMimi kwa maoni yangu nico willims wa spain!
Ukiacha like goli alilofunga kwenye hatua ya makundi Arda Guller Hana maajabu yeyote ni mchezaji wa kawaida tena sanaYan mm najitahidigi sana kumuangalia huyu arda gula n mchezaji wa kawaida sana s bora yule kitasa baris Niko Williams, musiala wako mbali sana
Huyu dogo ni mwiba mkali kwa defender yeyoteMimi kwa maoni yangu nico willims wa spain!
Unamkosea heshimaYan mm najitahidigi sana kumuangalia huyu arda gula n mchezaji wa kawaida sana s bora yule kitasa baris Niko Williams, musiala wako mbali sana
Hapana mkuu zaid ya lile goli lake moja mechi ya kwanza sjaona labda umempendea kupiga konaUnamkosea heshima
Kuna yule Niko Williams, musiala, yamali hawa unawaona kabisa wana hatarUkiacha like goli alilofunga kwenye hatua ya makundi Arda Guller Hana maajabu yeyote ni mchezaji wa kawaida tena sana
Kuna wachezaji timu ya taifa ya Turkey wamemuacha mbali sana arda gulaHapana mkuu zaid ya lile goli lake moja mechi ya kwanza sjaona labda umempendea kupiga kona