UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Wale maujaji Nina uhakika baada ya mechi kuishi walienda moja kwa moja vitandani na kulala na viatu vyao sio kwa moto ule waliokuwa wanapelekewa.

Umuhimu wa kuwa na kipa bora umeonekana Jana Austria golini kulikuwa na shati tu na sio kipa tofauti na Turkey .
 
Overa
Overrated player nashangaa watu wanamuweka kundi moja na akina Williams Jr, Yamine .
Huo ni mtazamo wako sio watu ebu onesha comment iliyomuweka kundi la hao unaowataja!!!!

Hata hivyo dogo ni mzuri ndio maana wewe ndie uliyataka kumlinganisha na hao unaoamini wewe ni wazuri.

uzuri wote tuna macho hakuna anaetzama mpira kwa meno kwahyo tusipangiane vya kuona.
 
GOAL! Austria 0-2 Turkey (Merih Demiral)
1719991808463.gif


1719991835119.gif
 
Back
Top Bottom