Saliba ameachiwa Ronaldo hata jasho hatoki leo
Ubovu wa Euro ni upi? Unaangalia mpira?Kombe letu waaafrica likikuwa tamu akina lookman,na yule jamaa alifungaga goli tamu wa guinea, euro mbovuuu
Huyo lookman ndio kwako mchezaji bora?Kombe letu waaafrica likikuwa tamu akina lookman,na yule jamaa alifungaga goli tamu wa guinea, euro mbovuuu
Ile clip hadi leo niki angalia uwa naona kama ni mapya asee .timu anduje tunge staafu wengi kuangalia world cupNikimuona Kolo najawa na hasira
Bado narecall ile nafasi ya dhahabu.
Andunje akabeba ndoo.
Sio mbovu kihivyo, ila naungana na mwamba hapo kuwa AFCON ilikuwa bora sana mwaka huu kuliko hii EUROUbovu wa Euro ni upi? Unaangalia mpira?
Kuna muda alipiga msako hatari, bado ana uwezo mkubwa sana wa kucheza soka la UlayaKante yeye hua haombi pasi anakaba anatoa pasi anasubiri kukaba tena 😁
Mimi nikimuona tu Kolo, nagadhibika.Ile clip hadi leo niki angalia uwa naona kama ni mapya asee .timu anduje tunge staafu wengi kuangalia world cup
Ndiyo uwezo wao.Wareno wanacheza kama wameshinda goli mia
Kinachonishangazaga ni kwamba nyie haters wa messi ndio huwa mnaumizwa sana na ile Miss ya Kolomuani kuliko hata wafaransa wenyewe.Mimi nikimuona tu Kolo, nagadhibika.
Niliumia sana. Na sitamsamehe.
Anamuongelea Ademora Lookman reject ya Uingereza au,?Huyo lookman ndio kwako mchezaji bora?
Lookman amezaliwa ulaya alikimbilia africa baada ya kuona hatoshi kuwa national team ulaya
Ubora wa afcon ulikuwa kwenye nini? Na ubovu wa Euro ni upiSio mbovu kihivyo, ila naungana na mwamba hapo kuwa AFCON ilikuwa bora sana mwaka huu kuliko hii EURO
Hawa itakuwa zao la mashabiki wa simba na yangaAnamuongelea Ademora Lookman reject ya Uingereza au,?
Deschamps anakwambia hamkubali saliba ana vitu vingi unnecessarySo far Saliba is the best CB in this tournament.... ameonesha kiwango ambacho hakuna beki mwingine wa nafasi yake anayemkaribia