Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hadi mashabiki wa Ureno wanalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel hawana teamSema hii france hamna kitu
Wale ndio hamna kitu kabisaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Baadae kidogo, wajukuu wa Malkia watakuwa wanashuka dimbani
Its coming home
Utashangaa wanazama nusuWale ndio hamna kitu kabisaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila Pepe kauwasha motoSasa Pepe analia nini? Yeye na Ronaldo wameziba nafasi tu za wengine.
Mpira una maajabu yakeUtashangaa wanazama nusu
Spain hawezi mfunga Mfaransa, labda abebwe kwa kujiangusha angusha hovyo uwanjani apewe foulsUfaransa ndo bingwa kama hutaki acha kuangalia Euro.
Ubora wa Afcon ulikuwa upi dhidi ya EURO? ilihali EURO imekuwa na Ushindani mkubwa sana kwa timu zote tangu mwanzoni?Sio mbovu kihivyo, ila naungana na mwamba hapo kuwa AFCON ilikuwa bora sana mwaka huu kuliko hii EURO
Sema Joa Felix ana gundu sana huyu dogo, safar yake ya soka Ina changamoto nyingi kuanzia ngazi ya klabu mpaka timu ya taifa.