UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Sio mbovu kihivyo, ila naungana na mwamba hapo kuwa AFCON ilikuwa bora sana mwaka huu kuliko hii EURO
Ubora wa Afcon ulikuwa upi dhidi ya EURO? ilihali EURO imekuwa na Ushindani mkubwa sana kwa timu zote tangu mwanzoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…