UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mashabiki wa Ronaldo waliisapoti france dhidi ya mabingwa wa America ya kusini 2022, jana walikua upande wa Portugal dhidi ya hao hao ufaransa πŸ˜„ mnapitia wakati mgumu sana, maumivu mnayopitia dhidi ya Messi na jeshi lake duh!
 
🀣🀣🀣 mess ni lidude likuuuuuubwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…