Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Bellingham sio talented kabisa, sijawahi kumuelewaHuyu Bellingham hata pale Bernabeu nna mashaka nae. Atakuja kulamba bench mpaka media zote za Uingereza zitaingilia
Timu ya ajabu sana hiiEngland mtatuua
Nimegundua rasmi sasa kwamba tatizo la England ni KOCHAAkanji kamficha Harry kane
Na kocha huwa habadili mchezo
Harry kane angecheza km namba kumi. Game ingebadilika
Kocha msenge sana yuleNimegundua rasmi sasa kwamba tatizo la England ni KOCHA
ila wamenikera sana kwani baada ya kufunga goli wakaanza kubweteka na kukosa umakini na goli kusawazishwa. wanaenda kufungwa ama dakika hizi 90 au zlle za nyongeza za 30 kwani kuna mapungufu mengine ya kiufundi naanza kuyaona wanayo. siwapendi england ila wanaenda kushinda hii mechiUswisi wanaongoza
Bellingham sio talented kabisa, sijawahi kumuelewa