UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Uswisi wanaongoza
ila wamenikera sana kwani baada ya kufunga goli wakaanza kubweteka na kukosa umakini na goli kusawazishwa. wanaenda kufungwa ama dakika hizi 90 au zlle za nyongeza za 30 kwani kuna mapungufu mengine ya kiufundi naanza kuyaona wanayo. siwapendi england ila wanaenda kushinda hii mechi
 
Tuko pamoja kwenye England ifungwe leo. Ila hilo la kama timu ya Tanzania, ni dongo letu Yanga.
 
Bellingham sio talented kabisa, sijawahi kumuelewa

Ndio mi nakwambia mwache ajichekeshe watu wamelipa Euro milioni mia zao. Amuulize kakaake Bale, Real Madrid wanakulipa mshahara, unafanya mazoezi kisha unachoma mahindi hata miaka 3 hawaoni hasara. Mkataba wako ukiisha na carrier yako imeisha. Wale wanataka performance
 
Back
Top Bottom