UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Kweli mkuu hapa tusibiri tu matokeo ya mpira
 
Kweli kabisa, sioni Bellingham akienda mbali na Madrid. Shida kubwa pia huwa ni hawa wachezaji wa kiingereza huwa sio wa kudumu sana tena wakienda timu kubwa zenye presha kama Madrid hupotea mapema kabisa. Mcmanaman, Owen, bekcham, woodgate wote walienda Madrid wakiwa bora lakinj wakashindwa kudumu
 
Jude ameanza kubadilika
 
Anacheza midfield, ndio top scorer wa Real Madrid kwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…