Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #5,741
[emoji28]kuna thread uyu pimbi wana mlinganisha na musiala .huyu Belingham ni muwa sana, jamaa ni wa kuwekwa bench tu
2? Chaneli gani hiyo unaangalia?2'
Added time
Mbona umeanza kusinzia mapema2'
Added time
Fox Sports
Hmm…..sheria kwani inasemaje? Mpira wote unatakiwa uvuke mstari au sehemu yoyote ya mpira ikishavuka mstari inakuwa ni goli?
Sasa added time ilikuwa ni +2 kweli?Fox Sports
Kabisa, Timu Inacheza kama Ikipata Sare inakua Imefuzu, Wamepoaa!Kama watawamaliza hawa waandish WA habari bas lazma wajipange vizur kuwakabil Spain
All of the ball must pass all of the goal line. If any part of the ball is still on a plane with the goal line when it is saved, there is no goal awarded.Hmm…..sheria kwani inasemaje? Mpira wote unatakiwa uvuke mstari au sehemu yoyote ya mpira ikishavuka mstari inakuwa ni goli?
Nilisikia 2.Sasa added time ilikuwa ni +2 kweli?
Kwema MkuuWakuu kwema?
Ndio mpira haikutilia sanaSasa added time ilikuwa ni +2 kweli?