No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Spain unawajua au unawasikia tu...yeyote atakaepita hapa atakula kuanzia goli tatu 3Spain watabeba ndoo iwapo England watashinda kwa matuta.
Kinyume na hapo Spain hatoboi kwa waholanzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spain unawajua au unawasikia tu...yeyote atakaepita hapa atakula kuanzia goli tatu 3Spain watabeba ndoo iwapo England watashinda kwa matuta.
Kinyume na hapo Spain hatoboi kwa waholanzi
Hawana lolote hao Spain watapigika tuSpain unawajua au unawasikia tu...yeyote atakaepita hapa atakula kuanzia goli tatu 3
Sukari imeanza kupanda eeeh🤣Kwa hapa tulipofika yeyote tu abebe hili Yuro ila sio England.
🥶🥶🥶Its coming home
Kwanini sio England unaogopa kelele?Kwa hapa tulipofika yeyote tu abebe hili Yuro ila sio England.