Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
Winner Spain hawa watakufa vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnakufa 3 fainaliMtajua wenyewe.
Sisi lazima makwapa yafunguke. Mikono juu..
vibaya sanaWinner Spain hawa watakufa vibaya
Eiii mnajipanga kunyanyua kwapa sasaNikanunue jezi sasa kesho kwajili ya fainal
Ukumbuke haya mashindano hadi fainali ni mechi saba tu. Na mechi zenyewe zinachezwa kimbinu zaidi ili ku endelea na hatua inayofuataEngland pamoja na kuwa na top strikers barani ulaya, wamkuwa wanapata shida sana kufunga.
Mtazame Kane, Saka, Palmer, Belligham na Foden, hawa wote ni watu ambao wamefunga magoli mengi katika vilabu vyao.
England kama ni movie basi ni “SISU”england kagoma kufa, toka group stage tunamuwinda ila imeshindikana. spain atafanya kweli , harry kane fainali asicheze
Aisee mpira ni mchezo wa ajabu sana
Kazi yangu ni kutunza risitiWinner Spain hawa watakufa vibaya
Kwani England tumekuwa JKT Ruvu tangia lini?mnakufa 3 fainali