uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Nimbus...Paka anacheza namba ngapi uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimbus...Paka anacheza namba ngapi uwanjani
Ubora wa matangazo ukojeNdugu zetu leo mmekumbukwaView attachment 3042432
Dah!! umenichekesha kifala yani 🤣🤣🤣amka utajambia sofa
Hicho kiwango cha juu.Spain kamtandia German...¼ fainal
Spain kamchapa ufaransa...½ fainal
Toeni sababu 1 tu, kwa nini Spain asimfunge England, wakati France na German ni wazuri kuliko england?
Sisi Waspanyola wa bongo tunatembea kifua mbele. Na nawahakikishia hili kombe tunalibeba na tutawapigia mpira wa viwangonvya juuu.
ana mkosi huyo ataishia kubeba kombe la ujiKane anaenda kubeba kombe lake la kwanza katika historia ya soka
Wanasema eti Paka kashatabirSpain kamtandia German...¼ fainal
Spain kamchapa ufaransa...½ fainal
Toeni sababu 1 tu, kwa nini Spain asimfunge England, wakati France na German ni wazuri kuliko england?
Sisi Waspanyola wa bongo tunatembea kifua mbele. Na nawahakikishia hili kombe tunalibeba na tutawapigia mpira wa viwangonvya juuu.
Leo atawashangazaana mkosi huyo ataishia kubeba kombe la uji
Sijajua mkuu, mimi nipo kwa DStvUbora wa matangazo ukoje