Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #6,181
Umesikiliza vibaya.43'
Tutakuwa na dakika 2. ya muda ulioongezwa.
Let waitChuma hii hapa sasa
Silalewa mkuu,ila kama umefuatilia vizuri michuano hiiUmesoma vizuri.. Namaanisha katikati.. Defense ipo poa.. Kama umelewa usiniquote
Kwa hii forward ya KaneMbona maladha ya kutosha
BadoAnatakiwa atolewe, amezidiwa mbinu leo
Saka vs CucurehaNapenda sana battle ya leo
Yamal vs Luke Shaw
Williams vs Kyle Walker