UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Nazario Ronaldo alikuwa sahihi sana kusema soka la siku hizi halisisimui na halina mzuka kabisa .
Huwezi amini sijaanfaoia mechi hata moja ya copa America wala Euro .
Yaani sijui nayaonaje haya machezaji na timu zao hizi .
Nadhani hii ni downfall ya soka
Unaweza kuwa sahihi ila ndoivyo tu wengne tumeshakuwa Addicted na soka tunaangalia tu hivyo hivyo,

Mpira wa siku hizi wachezaji hawapewi uhuru wa kuonyesha skills zao binafsi kam kipindi cha kina Ronaldinho na Maradona, Players sku hizi ni kama wanachezeshwa(AI) wenyewe wanafuata kile kocha anataka tu ukienda tofauti unawekwa nje.
 
36'

Nico Williams (Hispania) anacheza katika krosi yenye matumaini, lakini haipati njia ya kumfikia mchezaji yeyote kati ya washambuliaji. Mpira unaisha na England watakuwa na goli.
 
Back
Top Bottom