UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

24'

Francois Letexier akipuliza kipyenga chake baada ya Daniel Carvajal (Uhispania) kupiga miguu ya mpinzani badala ya mpira.
 
Nazario Ronaldo alikuwa sahihi sana kusema soka la siku hizi halisisimui na halina mzuka kabisa .
Huwezi amini sijaangalia mechi hata moja ya copa America wala Euro .
Yaani sijui nayaonaje haya machezaji na timu zao hizi .
Nadhani hii ni downfall ya soka
 
Back
Top Bottom