Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
We si umeniaga jamani? Nakusubiri, tukutane second half.Pole, ila ni fainali kweli.
Ova
Unashabikia magoli tu?Kwa hii forward ya Kane
Endelea kuotaSpain bingwa
Kwa hali ilivyo wanaweza kwemda penalt na kuchukua, au wanaweza kuchukua dakika ya 90+3England bahati ipo upande wao leo
Unawajua wajukuu wa malkia wewe?Spain bingwa