HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wakati mechi zao zenyewe hawajai hadi hamasa au tiketi za bureWanapenda simba au yanga
Ili kupata content za kwenye kahawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mechi zao zenyewe hawajai hadi hamasa au tiketi za bureWanapenda simba au yanga
Ili kupata content za kwenye kahawa
Naona kama 2nd half wameahidiwa nn sijuiAnyway, hawa Serbia wa moto.
Ila tutawapelekea moto.
Bellingham naye kajilegeza sana.Ilikua goal hii
Anafanya timu inaelemewa, mpuuzi sanaHuyu kocha fala. Sioni ulazima wa TAA kucheza kiungo wakati kiungo mkabaji halisi yupo. Up
Hamna kitu nilicheka Beki anataka kudaka yeyeVAR au?
Mchecheto🤣 maana ndio michuano yake mikubwa ya kwanzaHahahhaahaa uyu Marc alikua anataka kumsaidia kipa kudaka..
Jamaa anaona mbona kipa anashindwa kuukamata?Hamna kitu nilicheka Beki anataka kudaka yeye
2nd half imekua ngumuTadic ndio anaingia sana japo umri umeenda lakini anaweza akawapa joto mabeki na viungo wa England