UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ila wenzetu bwana full butudani magoli mengi kabisa.
Ila jambo moja nililogundua kuna magoli mengi ya mapema na mara nyingi wanao pigwa hilo bao ni timu zilizokuja kujilinda hivyo wanalazimika kuufungua mchezo.

Spain hatari jamani huyu fabian luiz noma sana. Croatia naona itabidi waanze kufikiri kumtumia modric kama super sub maana game dhidi ya spain alishindwa kabisa kukabiliana na fabian luiz
 

wengi wa hao no overrated sana hawana uzuri kitu, labda useme wanalingana viwango
 
Awe nani sisi tutamtwanga tu, hii england sio kama ile yakina lampard, rooney na gerald ilikua na wachezaji kuojiona sana, safari hii habari nyingine kbs.
Jana kashinda kwa tabu sana dhidi y serbia, hii imenipa shaka kidogo,
Serbia utoto ulikuwa mwingi sn hasa wakiwa 3rd half y england, otherwise wangeshinda hata goli 3..

Mm england siioni ikifika nusu fainal y michuano hii, regards kundi alilokuwepo jamaa ndo kundi jepesi zaid y yote
 
Mimi siku zote huwa nashangaa, wale ambao huwa wanatabiri na kuamini kuwa England inaweza beba Ubingwa kitu kitu kwenye vichwa vyao hakiko sawa
 
timu imejaa average players ambao wanaitwa best players, Kane, Saka, Jude, Foden, Arnold, Rice na sasa kuna kijana mpya yule rasta aliengia mwishoni, ni wachezaji wakawaida sana wanaobambikiwa masifa yaliyonje ya uwezo wao.
 
timu imejaa average players ambao wanaitwa best players, Kane, Saka, Jude, Foden, Arnold, Rice na sasa kunja kijana mpya yule rasta aliengia mwishoni, ni wachezaji wakawaida sana wanaobambikiwa masifa yaliyonje ya uwezo wao.
Superstars ila viwango vya kawaida hawanyumbuliki
 
Mimi siku zote huwa nashangaa, wale ambao huwa wanatabiri na kuamini kuwa England inaweza beba Ubingwa kitu kitu kwenye vichwa vyao hakiko sawa
Odds na bahati nilikuwa upande wake dhidi ya Italy akachezea nafasi ile fainali kwa sasa itakuwa vigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…