Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Romania na Slovenia ndio underdog waliowaprove watu wrong mpaka sasa.
Tusubiri Austria ashangaze wapenda soka
Tusubiri Austria ashangaze wapenda soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawana huruma nchi iko vitan wangewapiga walau kamojaKwa alichonifanyia Ukraine mimi afisa ubashiri, ..anyway Putin atanilipia
Mpir magoli yaani wee tafuta goli achana na possession.Ukrain wanachakazwa cz waliwachukulia Romania ki underdog,
Wakawa wanaleta ubishoo.
Last time i chacked possession ilikuwa 75% for ukrain lakin hakuna la maana walilofanya,
France uyo mtoto tunamua mapema sana sisi tunataka kombe hilo we acha mchezo kabisaRomania na Slovenia ndio underdog waliowaprove watu wrong mpaka sasa.
Tusubiri Austria ashangaze wapenda soka
Mzee wa kazi chafu huyuila awa watoto mpira wanaupiga kuna uyu jamaa kafunga Goli la tatu anacheza kama hapendi ila balaa lake sio poa na kuna uyo beki wao wa kati kafunga nywele ana mzuka balaaa
Ss hatujaumbiwa mpira bro…Mpir magoli yaani wee tafuta goli achana na possession.
Wajinga romania wamepiga mashugi ya kiulaya ulaya.
Yaani ukiona wenzetu unaona kabisa wanajua boli sie huku kuruka ruka tuu
MmmhRomania na Slovenia ndio underdog waliowaprove watu wrong mpaka sasa.
Tusubiri Austria ashangaze wapenda soka
weweee usikimbie badae ule mziki wa France achanayo kabisaAustria leo tuna Jambo LETU🔥🔥🔥
🤣🤣 ww watoto wa malkia wanajambo lao hao..Huyu Kijana sijui alikua anafanya nini hapa, Jama ni mroho sana na uwezo wenyewe wa kuunga unga
View attachment 3019497
Nipo hapa alaba anapanda na kushuka mapafu ya mbwa kross kama zote nawaonea huruma Franceweweee usikimbie badae ule mziki wa France achanayo kabisa
Tatizo mpira mnao mdomoni na vichwani mwenu, badala ya kutazama game ndo uanze kuongea.France uyo mtoto tunamua mapema sana sisi tunataka kombe hilo we acha mchezo kabisa
Watu wasakata kabumbu unafurahi...yale mashugi nje kidogo ya box ni fire...pass zinapigwa mpaka raha. Aisee sie huku tunaruka ruka tuu kwa kweli.Ss hatujaumbiwa mpira bro…
Ndomana tulikuwa n kazi y kumtafuta mwinyi afute kauli…
Ss sijui kauli y mwinyi ilikuwa inaathiri vp matokeo y uwanjani