Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
π€£Namuona Lukaku kaanza mapepo yake
Mbelgiji anataka kuniliza tena leo, Nashindwa kuelewaBelgium kaumaliza mwendo sioni dalili ya kuchomoa Wala kuchomeka .
Wakamalia ,mkombozi ni France kwa leo poleni na yote ,ndivyo dunia ilivyo .
Dah Off-sideAsante Lukaku