Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #1,081
Hili jina la mtu au umetukana?Manina
Mama NinawiHili jina la mtu au umetukana?
Wapige la pili biashara iisheDaah Hawa Slovakia Wana nidhamu sana goal ni offside huwaoni wakimzonga refa wanachukua mpira wanaweka kati wanaanzisha refa anawaambia hapana ni offside Respect.
Ubelgiji iliwahi kuwa na akina Hazard lakini hakuna cha maanaMbelgiji anataka kuniliza tena leo, Nashindwa kuelewa
debruyne ndani, Lukaku Ndani, Trossard ndani, doku ndani ila hakuna impact yoyote
NakaziaBElgium hawashindi tena
πππππHii game maafisa bashiri roho mkononi