Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Sijawahi kuona tatizo la Lukaku basi watu sijui wanashida gani nayeLukaku uyu jamaa huwa namuona hana damu ya kupendwa
Anafunga sana magoli ila mashabiki huishia kumtania
Wachezaji wa kocha😁Hawa wachezaji wa guadiola wamekua magarasa Sana hii michuano, Sijui tatzo nini
Yaani kante pamoja na kwenda kucheza ligi ya mbuzi bado anaanza. 🤣🤣🤣Waswahili wa UlayaView attachment 3019608
Alaba kaenda wapi tena
Pep kawaloga🤣🤣🤣 anataka watoke mapema ili warudi klabuni anataka ashinde epl mara tano mfululizoHawa wachezaji wa guadiola wamekua magarasa Sana hii michuano, Sijui tatzo nini
Nilimis sana kumuona huyu jamaa akisakata kabumbuYaani kante pamoja na kwenda kucheza ligi ya mbuzi bado anaanza. 🤣🤣🤣
Au walikunywa sana pombe baada ya kutangazwa mabingwa mpaka leo bado wanahangoverPep kawaloga🤣🤣🤣 anataka watoke mapema ili warudi klabuni anataka ashinde epl mara tano mfululizo
Hajawa fit 100%Alaba kaenda wapi tena
Muda ni mwamuzi mkuu acha tungoje unaweza kutana na sapraizLeo ndo leo Austria atatueleza ilikuwaje kuwaje mpaka akatua kwenye POT yetu
France ndo bingwa Euro 2024
Didier Deschamps huwa ana wachezaji wake na humbadilishi mawazo.Yaani kante pamoja na kwenda kucheza ligi ya mbuzi bado anaanza. 🤣🤣🤣
Kuna ukweli hapa jana kina stones walikuwa wanarusha miguu tuThey have been systematized by mr. philosopher, they need a well established word class system to thrive.
Pep na Jurgen wametengeneza mifumo kwenye timu zao ambayo inawafanya wachezaji wao wafanye vizuri wanapokuwa na vilabu vyao tu basi. Nafikiri unamuona hata Arnold akiwa national team anavyokuwaga garasa
Huyu MWENE sio mjukuu wa Baba wa taifa Nyerere🤔Austria