UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Waswahili wa Ulaya
IMG_1882.jpeg
 
They have been systematized by mr. philosopher, they need a well established word class system to thrive.

Pep na Jurgen wametengeneza mifumo kwenye timu zao ambayo inawafanya wachezaji wao wafanye vizuri wanapokuwa na vilabu vyao tu basi. Nafikiri unamuona hata Arnold akiwa national team anavyokuwaga garasa
Kuna ukweli hapa jana kina stones walikuwa wanarusha miguu tu
 
Back
Top Bottom