UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Uingereza wamejaa Ubaguzi mkubwa ktk mashindano haya....
Game ya jana Black Race ilishinda..Whites hawakupenda. Na Kama mko makini aliyefunga goli la England Kuna ishara alionesha... Kwa wapiga kelele.. kwamba pigeni kelele Sana...
Lakini video halikuonesha Hilo....
 
Uingereza wamejaa Ubaguzi mkubwa ktk mashindano haya....
Game ya jana Black Race ilishinda..Whites hawakupenda. Na Kama mko makini aliyefunga goli la England Kuna ishara alionesha... Kwa wapiga kelele.. kwamba pigeni kelele Sana...
Sikuzingatia ila uko nasikia ubaguzi kawaida.
 
Mkuu vedio haikuonesha wewe uliona wapi ?
 
kwanini Wasikubali Real madrid sio Man united ile kwamba Mchezaji anajiamulia tu kitu anachotoka kama falsafa za timu zitaka timu ijengwe kumzunguka Mbappe hakuna wakubisha pia kama falsafa za timu zitaka kuwe kuna Balance ya wachezaji wote wa mbele uyo Mbappe naye hatabisha kitu itabidi akubali kuishi kwenye Hizo falsafa Real madrid ndio klabu pekee Duniani huwa haishendeshwi na Maamumizi ya mchezaji yoyote yule hasa linapokuja suala la maslai ya klabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…