Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hii game ni ngumu sio kwamba Ufaransa ni wazembeUfaransa kama Waingereza
Hapa Kuna goli 2 zinaingia, naweka mzigo liveUfaransa kama Waingereza
Sikuzingatia ila uko nasikia ubaguzi kawaida.Uingereza wamejaa Ubaguzi mkubwa ktk mashindano haya....
Game ya jana Black Race ilishinda..Whites hawakupenda. Na Kama mko makini aliyefunga goli la England Kuna ishara alionesha... Kwa wapiga kelele.. kwamba pigeni kelele Sana...
OverratedMbape ni Lukaku aliyechangamka
Uko !? Wapi!?Sikuzingatia ila uko nasikia ubaguzi kawaida.
Mkuu vedio haikuonesha wewe uliona wapi ?Uingereza wamejaa Ubaguzi mkubwa ktk mashindano haya....
Game ya jana Black Race ilishinda..Whites hawakupenda. Na Kama mko makini aliyefunga goli la England Kuna ishara alionesha... Kwa wapiga kelele.. kwamba pigeni kelele Sana...
Lakini video halikuonesha Hilo....
Sikushauri mkuuHapa Kuna goli 2 zinaingia, naweka mzigo live
TrueKaka hii game ni ngumu sio kwamba Ufaransa ni wazembe
kwanini Wasikubali Real madrid sio Man united ile kwamba Mchezaji anajiamulia tu kitu anachotoka kama falsafa za timu zitaka timu ijengwe kumzunguka Mbappe hakuna wakubisha pia kama falsafa za timu zitaka kuwe kuna Balance ya wachezaji wote wa mbele uyo Mbappe naye hatabisha kitu itabidi akubali kuishi kwenye Hizo falsafa Real madrid ndio klabu pekee Duniani huwa haishendeshwi na Maamumizi ya mchezaji yoyote yule hasa linapokuja suala la maslai ya klabuCristiano alipoenda Madrid alipunguziwa majukumu tofauti na alivyokuwa manchester united
Madrid alikuwa anacheza eneo dogo la uwanja tofauti na manchester united alikuwa anarudi deep kwenye
Ni kweli uchezaji wa mbape na Cr unafanana
Je kina vin,na wenzie watakubali wawe kivuli cha
Wangireza choka Mbaya waleUfaransa kama Waingerez
Janja janja tuUfaransa kama Waingereza
Wangedroo hawaIle own goal imeharibu sana