UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hawa madogo wanapoteza pasi kifala sana.. wapigwe akili ziwakae
Alafu hawa jamaa naona kama hawajui kufikiri. Nyie mnawatu warefu piga goal kick mbele huko acheni mambo ya playing out from the back. Wamepiga hivyo mipira mitatu wamepata second balls zote. Hawa wazungu feki hadi mie mwafrica nawafundisha boli
 
Wanacheza na team kubwa wanataka kuleta show. Ilibidi mipira yote ipelekwe mbele. Huku nyuma watapigwa tu
 
Si england alishida vizuri tu dhidi ya timu ngumu serbia kwani shida nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…