UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Alafu hawa jamaa naona kama hawajui kufikiri. Nyie mnawatu warefu piga goal kick mbele huko acheni mambo ya playing out from the back. Wamepiga hivyo mipira mitatu wamepata second balls zote. Hawa wazungu feki hadi mie mwafrica nawafundisha boli
Wanacheza na team kubwa wanataka kuleta show. Ilibidi mipira yote ipelekwe mbele. Huku nyuma watapigwa tu
 
Jana kashinda kwa tabu sana dhidi y serbia, hii imenipa shaka kidogo,
Serbia utoto ulikuwa mwingi sn hasa wakiwa 3rd half y england, otherwise wangeshinda hata goli 3..

Mm england siioni ikifika nusu fainal y michuano hii, regards kundi alilokuwepo jamaa ndo kundi jepesi zaid y yote
Si england alishida vizuri tu dhidi ya timu ngumu serbia kwani shida nn?
 
Longevity
IMG_1894.jpeg
 
Back
Top Bottom