Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna goli moja la ziada hapoDk 20 sasa zimebaki
Kumekucha.. Kumbe Wareno mpoMtoto yake pipi, mchezo umeanza upya sasa.
Umeibuka mremboMtoto yake pipi, mchezo umeanza upya sasa.
2.5 inatoa?Kuna goli moja la ziada hapo
Mpira ni mchezo wa kikatiliDah jamaa kasaidia kuimalizia freshh inauma hii
Lazma itoe dakika 20 nyingi hizo2.5 inatoa?
Yaani wamepambana wanaongoza kitu inakuja owngoal dahMpira ni mchezo wa kikatili
I bet wataongeza goliWamakonde ndio timu pekee ilishinda mechi zote kwenye kufuzu lakini huku kwenye mashindano wanarukaruka tu
Kumekucha.. Kumbe Wareno mpo
Tulieni, sisi ndio wataalam.Umeibuka mrembo