UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ndio maana kuna muda ilitakiwa amtoe Ronaldo ila hawezi, Perhaps ni strategy yao kwamba akiwemo uwanjani inaleta energy kwa wenzake
Kuipenda nchi ni pamoja na kuiwajibikia.

Ronaldo kuna muda anakosa maana. Nina uhakika kocha anawiwa kumtoa ila anajua atazira. Na watu watakuwa upande wake.

Mchezaji hata awapo uwanjani anajua kabisa hapa nacheza vizuri na hapa nazingua.

Angemtonya kocha ampuzishe madogo wapambane. Huko ndiyo motisha..

Si kubaki kuwakaba wenzako.
 
Ronaldo bhana, ana u-temeke flani hivi
IMG_1895.jpeg
 
Back
Top Bottom