Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #1,701
Anaujua uhuni yule mwambaPepe ana PHD ya ulinzi
Ivo MapundaLaiti kama tungekuwa na mchezaji anayeipenda Taifa Stars kama ilivyo kwa Ronaldo juu ya Ureno tungekuwa mbali kisoka.
It takes one person to make a difference.
Ndio maana kuna muda ilitakiwa amtoe Ronaldo ila hawezi, Perhaps ni strategy yao kwamba akiwemo uwanjani inaleta energy kwa wenzakeUreno wana kikosi kizuri tatizo ni kocha analinda ugali wake kwa kuwapanga washkaji zake Ronaldo
Muda mwingine anakuwa mzigo.Laiti kama tungekuwa na mchezaji anayeipenda Taifa Stars kama ilivyo kwa Ronaldo juu ya Ureno tungekuwa mbali kisoka.
It takes one person to make a difference.
KitawakaHiyo jumamosi ni shida, turky vs portgl
Nyie wenyewe mnawakopa wachezaji posho🤣🤣🤣🤣Laiti kama tungekuwa na mchezaji anayeipenda Taifa Stars kama ilivyo kwa Ronaldo juu ya Ureno tungekuwa mbali kisoka.
It takes one person to make a difference.
Pengine ni hivyo, hatuwezi kujua. Maana sisi tupo huku Naliendele hatujui wenzetu wana mipango ganiNdio maana kuna muda ilitakiwa amtoe Ronaldo ila hawezi, Perhaps ni strategy yao kwamba akiwemo uwanjani inaleta energy kwa wenzake
Usimnyime sifa yake, ni mzalendo kwa nchi yake wa kupigiwa mfano. Mengineyo ni ubinadamu.Muda mwingine anakuwa mzigo.
Ah habari za ntwara mkuuPengine ni hivyo, hatuwezi kujua. Maana sisi tupo huku Naliendele hatujui wenzetu wana mipango gani
Kuipenda nchi ni pamoja na kuiwajibikia.Ndio maana kuna muda ilitakiwa amtoe Ronaldo ila hawezi, Perhaps ni strategy yao kwamba akiwemo uwanjani inaleta energy kwa wenzake
Mbona yupo kapombe 🤔Laiti kama tungekuwa na mchezaji anayeipenda Taifa Stars kama ilivyo kwa Ronaldo juu ya Ureno tungekuwa mbali kisoka.
It takes one person to make a difference.