ZBC 2 wapigwe mawe popote walipoGame mbili za leo zote zilikuwa 🔥🔥🔥
Kwanini mkuu😀ZBC 2 wapigwe mawe popote walipo
Sidhani kama kuna game itaipita hii...nangojea marudio hapa saa saba dstv wanarudia.Nimekutana nayo sasahiv, tulokosa game kweli tulikosa game
View: https://x.com/Nedao454/status/1803118395430236644
Ni matapeliZBC 2 wapigwe mawe popote walipo
Kwani wamewafanyaje nyie watu?Ni matapeli
Walitangaza wataonyesha Euro watu wakalipia ving’amuzi kumbe mechi ni moja moja kama leo hawajaonesha kabisaKwani wamewafanyaje nyie watu?
Hahaha! wahamie dstv full burudaniWalitangaza wataonyesha Euro watu wakalipia ving’amuzi kumbe mechi ni moja moja kama leo hawajaonesha kabisa
Tatizo wanapenda sana mipira ya simba na yanga hawawezi kukuelewaHahaha! wahamie dstv full burudani
Hapa ndio utakapo furahia dstv.Walitangaza wataonyesha Euro watu wakalipia ving’amuzi kumbe mechi ni moja moja kama leo hawajaonesha kabisa
Basi waendelee kupambana na ahida zaoTatizo wanapenda sana mipira ya simba na yanga hawawezi kukuelewa
Uchomeshaji umeshika hatamuAise kwa uchambuzi wangu wa kiugegedaji gegedaji magoli ni mengi hii round ya kwanza...magoli 34 in total. Kweli full burudani.
Penalty =1
Individual errors (beki kuchomesha) = 6
Own goal = 3
Short corner = 3
Direct corner = 1
Cross +header = 2
Shots from zone 14 (nje ya box karibu na ile D) = 18
Wenzetu wadhungu ukikosea wanakuadhibu haraka sana....usifanye kosa la kupoteza mipira kifala kwenye defensive third yakoUchomeshaji umeshika hatamu
Ronaldo kaonyesha tofauti gani sasa? Mbona perfomance yake ilikua ya kawaida sana.Laiti kama tungekuwa na mchezaji anayeipenda Taifa Stars kama ilivyo kwa Ronaldo juu ya Ureno tungekuwa mbali kisoka.
It takes one person to make a difference.
Tatizo taifa stars wanapenda sana kuiingiza kwenye siasa, sasa ikipata mafanikio inakua kama juhudi za chama fulani? hapo tu ndo wanakosea?.I wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.