United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
ila Croatia wafungwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apo si unamua croatia unajifanya uoni kituWale wa kubet kazi kwetu
Bad for businessapo si unamua croatia unajifanya uoni kitu
Sema wote akili fyatuNacho na Dani ni copy ya Serigio Ramos kweny masuala ya Leardership
Mimi DSTV nawaelewa kwa kila kitu kuanzia mpira mpaka chanel nyingine za movie na tamthiliaDSTV wapo vizuri HD ya uhakika
Hii si ligi.Kila muda napita kuchungulia huu uzi nawaonea wivu najua mnaenjoy
Mimi hii league sijawahi kuifatilia pia nina king'amuzi cha Azam tu
Oooh pole.. basi tufuatilie updates hapahapa. Lakini Azam walitangaza wataonyesha sijafuatilia tatizo ni nini?Kila muda napita kuchungulia huu uzi nawaonea wivu najua mnaenjoy
Mimi hii league sijawahi kuifatilia pia nina king'amuzi cha Azam tu
pole my nitumie no yako yavoda nikuunge kifurushi chamweziKila muda napita kuchungulia huu uzi nawaonea wivu najua mnaenjoy
Mimi hii league sijawahi kuifatilia pia nina king'amuzi cha Azam tu
Sema wote akili fyat
Spain ukiona kaanza Ferran Torres pale juu uwakika wa magoli uwa unakua mkubwa sana ila uyo morata bila mpira wa kichwa hafungii ngooooBad for business
Hapo ni magoli mawili yapatikane
Kumbe we ni Arsenal failureYaani wanamuweka bench kipa wetu namba 1
Sawa tupo pamoja humuOooh pole.. basi tufuatilie updates hapahapa. Lakini Azam walitangaza wataonyesha sijafuatilia tatizo ni nini?