Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nilikua sijaona hii.. Nilijua tuKumbe we ni Arsenal failure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua sijaona hii.. Nilijua tuKumbe we ni Arsenal failure
HahahahahaaTujikite kwenye mada
'UEFA EURO 2024: Special Thread' 🤸
ukicheza na Beki three mara nying ma full beki huwa wanakua kama ma wingaHii mifumo ya uchezaji wa sasa inabadilika sana. Huyu beki Josko wa Man City kumkuta anashambulia kawaida kabisa hata kama anacheza Fullback
Uliyemuita muomboleze anafika na kuanza kukucheka.United ya Ferguson ebu sema kitu, jamaa wamemuweka Raya bench.
Nini tofauti ya michuano na ligiUliyemuita muomboleze anafika na kuanza kukucheka.
Hahhaha! Raya asubiri
Huwa wanaitwa wingbackukicheza na Beki three mara nying ma full beki huwa wanakua kama ma winga
hamna mimi nilikua namtania tuUliyemuita muomboleze anafika na kuanza kukucheka.
Hahhaha! Raya asubiri
DaahSpain ukiona kaanza Ferran Torres pale juu uwakika wa magoli uwa unakua mkubwa sana ila uyo morata bila mpira wa kichwa hafungii ngoooo
Ligi huchukua muda mrefu.Nini tofauti ya michuano na ligi
David Raya hamna kipa pale. Bora hata Kepa ArizabalagaYaani wanamuweka bench kipa wetu namba 1