UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hawa wachezaji wa guadiola wamekua magarasa Sana hii michuano, Sijui tatzo nini
They have been systematized by mr. philosopher, they need a well established word class system to thrive.

Pep na Jurgen wametengeneza mifumo kwenye timu zao ambayo inawafanya wachezaji wao wafanye vizuri wanapokuwa na vilabu vyao tu basi. Nafikiri unamuona hata Arnold akiwa national team anavyokuwaga garasa
 
1718648892671.png

Wengine macho yetu yameshaathiriwa na mapira,
 
Bila unafiki Slovakia wamepiga mpira mkubwa Sana leo,
-Belgium alikamatwa Sana kiungo,
  • high pressing toka juu Hadi chini
  • kukabia juu na pumzi viliwabeba sn
-High spirit na uzalendo viliwabeba Sana

HII MECHI YA LEO,BELGIUM NDO ALIKUA UNDERDOG KILA IDARA
Slovakia ni darkhorse kwenye hii michuano, nawaona wakifika kuanzia kwenye robo fainali hivi kama wakiendelea na hii hii fighting spirit waliyonayo.

Belgium ni kama PSG tu kimataifa, wana nyenzo lakini hawajui kuzitumia na wanaendaga kwenye michuano wakiwa na matumaini makuubwa halafu wanaishia kutia aibu tu.

Naskia mpaka leo hii bado wanamlaumu Roberto Martnez kwa kitendo cha wao kukaa nafasi ya kwanza kwenye FIFA rankings kwa miaka mitano mfululizo bila kuchukua kikombe chochote, wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom