UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

A moment of silence kwa walioikosa game hii
IMG_1890.jpeg
 
A moment of silence kwa walioikosa game hiiView attachment 3020338
Kabisa yaani hii game lazima niirudie kuangalia mana balaa leo nalala saa tisa usiku naona hapa saa sabu usiku inarudiwa...noma sana full of drama na magoli ya moto moto...kama goli la pili la waturuki can only be described as a majestic majestic goal🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom